IJUE NYOTA YAKO.
IJUE NYOTAYAKO NYOTA JINSI YA KUFAHAMU NYOTA YAKO CHUKUA JINA LA BABA YAKO CHUKUA JINA LAKO NA LA MAMA GAWANYA KWA KUMI NA MBILI. 1. IKIBAKI MOJA NI PUNDA. 2. IKIBAKI MBILI NI NG,OMBE. 3. IKIBAKI TATU NI MAPACHA. 4. IKIBAKI NNE NI KAA. 5. IKIBAKI TANO NI SIMBA. 6. IKIBAKI SITA NI MASHUKE . 7. IKIBAKI SABA NI MIZANI . 8. IKIBAKI NANE NI NGE. 9. IKIBAKI TISA NI MSHALE. 10. IKIBAKI...