MAAJABU YA YASINI.

NDUGUZANGU HII NI KIONJO KILICHOKO KATIKA KITABUCHANGU KINACHOITWA MAAJABU YA YASINI.
KWA MAHITAJI YA VITABUVYANGU TUWASILIANNE KWA 0657555550/ 0767,393934/ 0685,393934.

TIBA KWA MARADHI YOYOTE.
Kama mtu atakua na maradhi ya aina yoyote yawe ya kurogwa au ya kawaida achukue maji safi aweke chunvi ya mawe kidogo katika maji hayo kisha ayasomee yasini x7 kila akifika aya ya 58 inaye sema Salaamun qaulan min rabbir rahiimi aludie x7. Hakika hili ni ponyo la uhakika kwa idhni ya allah.
Maji hayo yatatumika kwa kunywa 1x3 kwa mda wa siku7.


KINGA YA MJI NA MWILI.
Chimba shimo urefu wa usawa wa magoti kisha chukua mchanga huo wa chini na shimo ulifukie mchanga huo utausomea yasini x7 kisha weka katika vichupa vyekundu vinane na uzike kwa kuzungushia mji hakika hataingia mchawi wala jinni katika nyumba hiyo.
Pia katika mwili utafata utaratibu huo huo kisha unajiokota vitu vya mwili na utie katika chupa pamoja na huo mchanga na naneno haya
Ukisha maliza maandalizi na kisomo chako tia hivyo vitu katika chupa pamoja na huo mchanga zika aldhini kwa manuizi.

JINSI YA KUMUITA ALIE KIMBIA MKE AU MUME.
Chola tarasimu hii katika karatasi nyeupe kwa kutumia miski na dhafarani kisha ikunjie katika mshumaa mwekundu ambao utakua umeuandika maneno haya, njoo haraka sana wewe……….hapo unaandika jina la umtakae, nakuita mimi…………jina lako hakikisha mshumaa huo unauandika kwa kutumia mwiba wa mti wowote.
Kazihii unaifanya siku yoyote sa6 usiku na unauwasha mshumaa wako kwa manuizi, unasema nawasha moyowako wewe…… uje haraka sana usipate usingizi na usipate amani, ukifunga macho unione mimi……… kisha una uwasha hapo tayali kwa kuanza kisomochako.
Utasoma kwa utaratibu huu, unasoma yasini kila ukifika mubini unasema yaa wadudy x7 kisha utasoma alam nashrah x7 unatia nia na utaendelea na kisomo kwa mtindo huo huo mpaka ufike mwisho na utaisoma yasini x7.
Kumbuka wakati unasoma mshumaa unaendelea kuwaka na unasoma ukiwa umeutazama wakatihuo umeelekea kibra.
Na tarasimu ndoo hii hapa chini.
pembeni zungushia manuizi unayoyataka kwa kutumia dhafarani nyekundu.
Tahadhali duahii usimsomee mume wa mtu au mke wa mtu asiekua wako.
VINAPATIKANA KWA JUMRA NA REJA REJA

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Jinsi ya kujua nyota yako kwakutumia tarehe yako ya kuzaliwa

TAFSILI ZA NDOTO MBALI MBALI

TAREHE YAKO YA KUZALIWA NA MAANA YAKE.