MAUMBILE NA TABIA ZAKE.

Mtu mwenye mdomo mkubwa, nimtu mwenye aya na pia nimtu mwenye busala.
Mtu mwenye mdomo wa juu ulio binuka, watuhawa ni hatari sana na hasa ukiwa chokoza utaoga matusi hadi utakoma na hawana dogo wao ukiwakosea kidogo hujajuu na hawapendi kuongelea chini wanataka wapaze sauti juu. Nduguyangu ukitaka kuoa na umepata mke mwenye mdomo wa juu uliobinuka jipange.
Mtu alie zaliwa na ulemavu wa miguu au mikono, watuhawa huwa wana hasila sana na wanapenda ugonvi japo hawajiwezi.
Mtu mwenye ulemavu wa kuzungumza yaani bubu, watuhawa ni wacheshi na pia ni wepesi wa kumsoma mtu ila niwakorofi sana na wakianzisha ugonvi hauushi.
Watu wafupi ni wenye hasila za kati.
Watu wembamba warefu kiasi, ni wenye hisia kali ki mapenzi na niwabunifu kitandani.

TAREHE YA KUZALIWA NA TABIA YAKE
Hizi ni tabia za kilamtu kulingana na tarehe aliyo zaliwa kuanzia tarehe moja hadi 30. Terehe 31 tunaihesabu sawa na tarehe moja.
Mtu alie zaliwa tarehe 1 atakua ni mtu wa bahati sana na maishayake ni marefu.
Mtu alie zaliwa tarehe 2 atakua na bahati ya kupata vitu kwa ulahisi pasipo kuhangaika.
Mtu alie zaliwa tarehe 3 atakua mtu wa kupendwa sana nawatu wenye uwezo.
Mtu alie zaliwa tarehe 4 atakua ni mtu wa kuugua ugua kila wakati na vifovyao ni vya gafra.

KWANZA NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWA MUUMBA MBINGU NA ARDHI KWA KUNIJAALIA ELIMU MBALI MBALI NA KUNIPA AFYA NJEMA.
NAMIMI SITAKUA MCHOYO WA FADHILA NAAMUA KUWAFUNZA ILI MJITAMBUE KUPITIA MAMBO MBALIMBALI YALIYOPO KATIKA MIILI YENU NA KWA NDUGU, WATOTO NK.

ALAMA HIZI MWENYEZIMUNGU KATUUMBA NAZO AKIWA NA SABABU ZAKE NDOMAANA MWINGINE KAUMBWA NA SAUTI KUBWA MWINGINE SAUTI NDOGO NA MWINGINE AKAMUUMBA MLEMAVU NA MWINGINE KAMUUMBA AKIWA AMEMFUNGA KAULI YA KUONGEA NK.

HAKUKOMEA HAPO AKATUUMBA NA ALAMA MBALI MBALI KATIKA MWILI KATIKA MWILI ILI KUTUJULISHA MAMBO MBALIMBALI.
MWENYEZI MUNGU HAKUACHIA HAPO AKATUJAALIA VICHEZO MWILINI KAMA ISHALA YA KUTU JULISHA MAMBO MBALI MBALI KAMA KUNA UADUI AU KUNA KITU KIBAYA KINATUFUATA NA AKATUPATIA ISHALA MBALI MBALI KATIKA MACHI, MDOMO, MASKIO, MIGUU, TUMBONI NK.
SHUKRANI ZOTE ZINAMUSTAHIKI MUUMBA WETU.
MAMBO YOTE HAYA UTAYAPATA KATIKA KITABU HIKI NA NAJUA YATAKUSAIDIA KUJIJUA AMA KUJIA HADHALI KUTOKANA NA ISHALA UTAKAZIKUA UNAZIPATA KATIKA MWILI WAKI.
MOLA WETU KATUPATIA NEEMA NYINGI TUSICHOKE KUMSHUKULU INSHALLAH.
YALIYOMO

Maumbile na tabia zake.
Tarehe ya mtoto kuzaliwy6a na tabia zake.
Kuwashwa kiungo na ishala yake.
Doti jeusi la kuzaliwa nalo na maana yake.
Herufi ya mwanzo wa jina lako na langiyako ya bahati.
Jinsi ya kujitazamia kama uta fanikisha au laa kwa kitu chochote.
Kwanza natanguliza shukrani nyingi kwa muumba mbingu na ardhi na vilivyomo kwa kunijaalia elimu mbali mbali na kunijaalia afya na namuombapia akujaalie wewe unae nunua kitabu hiki unufaike na elimu hizi utakazo zisoma katika kitabu hiki. Napia nachukua nafasihii kuwashukulu wazazi wangu baba na mama kwa kunilea vyema na kunifundisha maadili ya kuishi na watu.
Kitabihiki nitawapa elimu ya kumjua mtu tabia zake kutokana na maumbile yake kwa alama au kwa jinsi alivyo katika pajilake la uso na kumsoma mume au mke kutokana na herufi ya kwanza ya jinalake.

MAUMBILE NA TABIA ZAKE.
Mtu mwenye lipsi za mdomo nyembamba, niwatu wanao penda kazizao wafanyiwe vizuli na wakikutana na mtu mwenye lipsi pana basi hupata mafanikio ki maisha.
Mtu mwenye lipsi ya mdomo iliyo ninginia, mtu huyo hana utu hata tone na maamuziyao ni ya taratibu pia niwazito hata kukalibisha wageni.
Watu wenye maskio makubwa, wana malingo na niwatu wenye kujiskia sana.
Watu wenye maskio ya kawaida ni waskivu na pia ni wajanja na wabunifu.
Watu wenye maskio madogo, ni watu wasio penda maisha yaani wao bola maisha yanasonga na hawana upendo hata kidogo.
Mtu mwenye manyama maskioni, ni wafitinishaji na hawapendi wenzao wapate.
Mtu mwenye pua ndefu na nyembamba, mtuhuyo ni mwenye busala na upendo na ni mbunifu na pia ni mtu mwenye kuridhika na maisha yake.
Mtu mwenye pua iliyo lala, ni mtu mwenye kupenda ugonvi na ni mshari.
Mtu mwenye pua iliyo chomoza, ni mwenye malingo na majivuno.
Mtu mwenye pua nyekundu kama damu, ni ishala ya urevi.
Watu wenye minyama katika kidevu, niwatu makinisana na niwatu wanao penda na kujali familia zao.
Watu wenye kidevu frat kwa chini, ni watu wenye hisia kalisana.
Mtu mwenye kidevu kilicho chongoka, ni mwenye malingo na majivuno na ni mwenye kujiskia.
Mtu mwenye sauti nzito, ni muongeaji sana na nimtu mwenye nguvu.
Mtu mwenye sauti iliyo fifia, ni mwnyekua na aibusana ila ni muongo muongo.
Watu wenye kuongea kwa vituo, watuhawa ni wenye hakili sana na pia wana busala na hekma. Pia wanapenda amani na maamuzi yao ni ya busala.
Mtu mwenye sauti ya kutetemeka tetemeke, ni mtu muoga na anawivu wa ki sili sili.
Mtu mwenye sauti kubwa hupenda ushindi na hapendi kushindwa, ni mshindi.
Mtu mwenye sauti ya kukwaluza, ni mwenye fikra ndogo na hana msaada na mtu yeyote.
Mtu mwenye paji la uso kubwa, nimtu wa ujanja ujanja.
Mtu mwenye paji la uso lililo nyooka, mtuhuyo ni dhaifu dhaifu.
Mtu mwenye paji la uso la kuchomoza, mtu huyo ni bahili sana.
Mtu mwenye paji la uso la kutelemka, mtu huyu ana roho mbaya sana.
Mtu mwenye paji la uso nyololo, ni mtu mwenye ubunifu wa maWatu wenye maskio ya kawaida ni waskivu na pia ni wajanja na wabunifu.
Watu wenye maskio madogo, ni watu wasio penda maisha yaani wao bola maisha yanasonga na hawana upendo hata kidogo.
Mtu mwenye manyama maskioni, ni wafitinishaji na hawapendi wenzao wapate.
Mtu mwenye pua ndefu na nyembamba, mtuhuyo ni mwenye busala na upendo na ni mbunifu na pia ni mtu mwenye kuridhika na maisha yake.
Mtu mwenye pua iliyo lala, ni mtu mwenye kupenda ugonvi na ni mshari.
Mtu mwenye pua iliyo chomoza, ni mwenye malingo na majivuno.
Mtu mwenye pua nyekundu kama damu, ni ishala ya urevi.
Watu wenye minyama katika kidevu, niwatu makinisana na niwatu wanao penda na kujali familia zao.
Watu wenye kidevu frat kwa chini, ni watu wenye hisia kalisana.
Mtu mwenye kidevu kilicho chongoka, ni mwenye malingo na majivuno na ni mwenye kujiskia.
Mtu mwenye sauti nzito, ni muongeaji sana na nimtu mwenye nguvu.
Mtu mwenye sauti iliyo fifia, ni mwnyekua na aibusana ila ni muongo muongo.
Watu wenye kuongea kwa vituo, watuhawa ni wenye hakili sana na pia wana busala na hekma. Pia wanapenda amani na maamuzi yao ni ya busala.
mbo mbali mbali.
Mtu mwenye paji la uso lenye mikunjo, ni mtu mwenye kujipenda na kujijali.
Mtu mwenye paji la uso la kukonyeza, ni mtu wa kupendwa na watu na wanamvuto ki mapenzi.
Mtu mwenye paji la uso la kushaangaa, mtuhuyo ni mwenye akili za kitoto.
Mtu mwenye macho madogo, ni mtu wa kuhisi kitu na kinatokea na watuhawa ni masharifu na hupenda kusema ukweli na wanapenda kutendewa haki.
Mtu mwenye macho ya kulengalenga machozi, watuhawa hua wanaimani potofu na hupenda kukaa wanajihisi.
Mtu mwenye macho makubwa, ni mtu mkarimu sana na anapenda amani.
Mtu mwenye mdomo wa kawaida ni mtu mwenye tabia nzuli.
Mtu mwenye mdomo mkubwa, nimtu mwenye aya na pia nimtu mwenye busala.
Mtu mwenye mdomo wa juu ulio binuka, watuhawa ni hatari sana na hasa ukiwa chokoza utaoga matusi hadi utakoma na hawana dogo wao ukiwakosea kidogo hujajuu na hawapendi kuongelea chini wanataka wapaze sauti juu. Nduguyangu ukitaka kuoa na umepata mke mwenye mdomo wa juu uliobinuka jipange.
Mtu alie zaliwa na ulemavu wa miguu au mikono, watuhawa huwa wana hasila sana na wanapenda ugonvi japo hawajiwezi.
Mtu mwenye ulemavu wa kuzungumza yaani bubu, watuhawa ni wacheshi na pia ni wepesi wa kumsoma mtu ila niwakorofi sana na wakianzisha ugonvi hauushi.
Watu wafupi ni wenye hasila za kati.
Watu wembamba warefu kiasi, ni wenye hisia kali ki mapenzi na niwabunifu kitandani.

TAREHE YA KUZALIWA NA TABIA YAKE
Hizi ni tabia za kilamtu kulingana na tarehe aliyo zaliwa kuanzia tarehe moja hadi 30. Terehe 31 tunaihesabu sawa na tarehe moja.
Mtu alie zaliwa tarehe 1 atakua ni mtu wa bahati sana na maishayake ni marefu.
Mtu alie zaliwa tarehe 2 atakua na bahati ya kupata vitu kwa ulahisi pasipo kuhangaika.
Mtu alie zaliwa tarehe 3 atakua mtu wa kupendwa sana nawatu wenye uwezo.
Mtu alie zaliwa tarehe 4 atakua ni mtu wa kuugua ugua kila wakati na vifovyao ni vya gafra.

NAWAPA HII KIDOGO NI KITABU CHA DR,HAJI A.K.A BABU KINACHOITWA NISOME NILIVYO VINA PATIKANA SEHEMU MBALI MBALI TANZANIA KWA DAR VINAPATIKANA MSIKITI WA MTOLO KWA KUTUBU DUKA LA VITABU. PIA NINAVYO VITABU MBALI MBALI KAMA VILE , VITABU VYA ELIMU YA NYOTO, TAFSILI ZA NDOTO, VITABU VYA MADAWA, NK.
NA KAMA UTAHITAJI VITABU KWA JUMLA AU KWA LEJE LEJE TUWASILIANE KWA SIM 0767,393934 AU 0657,555550 AU 0685,393934.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Jinsi ya kujua nyota yako kwakutumia tarehe yako ya kuzaliwa

TAFSILI ZA NDOTO MBALI MBALI

TAREHE YAKO YA KUZALIWA NA MAANA YAKE.