IJUE NYOTA YAKO.
IJUE NYOTAYAKO
JINSI YA KUFAHAMU NYOTA YAKO CHUKUA JINA LA BABA YAKO CHUKUA JINA LAKO NA LA MAMA GAWANYA KWA KUMI NA MBILI.
1. IKIBAKI MOJA NI PUNDA.
2. IKIBAKI MBILI NI NG,OMBE.
3. IKIBAKI TATU NI MAPACHA.
4. IKIBAKI NNE NI KAA.
5. IKIBAKI TANO NI SIMBA.
6. IKIBAKI SITA NI MASHUKE .
7. IKIBAKI SABA NI MIZANI .
8. IKIBAKI NANE NI NGE.
9. IKIBAKI TISA NI MSHALE.
10. IKIBAKI KUMI NI MBUZI.
11. IKIBAKI KUMI NA MOJA NI NDOO.
12. IKIBAKI KUMI NA MBILI NI SAMAKI.
NA
PIA KUNA NYOTA ZA AINA NNE AMBAZO NDIZO NYOTA ZA ASILI NA UKITAKA
KUZIJUA NYOTA HIZO UNACHUKUA JINA LAKO LA BABA NA LA MAMA UNAGAWANYA KWA
NNE
1. IKIBAKI MOJA NI MOTO .
2. IKIBAKI MBILI NI UDONGO.
3. IKIBAKI TATU NI UPEPO.
4. IKIBAKI NNE NI MAJI.
NYOTA
HIZI NDIZONYOTA ZA ASILI AMBAZO INATAKIWA TUZIFAHAMU MFANO MTU MWENYE
NYOTA YA MOTO HATAKIWI KUFANYA KAZI ZA MTU MWENYE NYOTA YA MAJI MAANA NYOTA YAKE ITAZIMIKA.
MWENYE
NYOTA YA MOTO KAZI ZAKE NI UDREVA,UASKARI,UMACHINGA,HOTELI,, BIASHARA,
ZINAZOHUSIKANA NA KUSAFIRI SAFIRI AU SALUNI MAANA SALUNI MOTO UNATUMIA
UMEME ,FUNDI WELDING,NA KAZI ZINAZOHUSU UPEPO MAANA MOTO NA UPEPO ZIKO
PAMOJA.
NA
PIA NYOTA YA MAJI NA UDONGO ZINAFANYA KAZI MOJA.KAZI ZAO NI
UVUVI,KULIMA ,UFUGAJI,KUCHIMBA MADINI, FUNDI WASH,FUNDI UJENZI.N.K.
MTU MWENYE NYOTA YA MOTO INATAKIWA AOLEWE NA MTU MWENYE NYOTA YA UPEPO.
NA MTU MWENYE NYOTA YA MAJI INATAKIWA AOANE NA NA MTU MWENYE NYOTA YA UDONGO.
WATU WENGI NDOA ZAO HUHARIBIKA MAANA HAWAFATI MAMBO HAYA .KUJUA NYOTA NI MUHIMU SANA NA HATA KIBIASHARA INATAKIWA TUJUE NI HERUFI GANI ZA KUANDIKA KATIKA BIASHARA AU KATIKA MADUKA YETU.
`
PIA KUNA KUZIJUA NYOTA KWA KUTUMIA HERUFI MFANO MWENYE HERUFI INAYOANZA NA A,=PUNDA. B=NG,OMBE. C=MAPACHA. D= KAA. E= SIMBA. F=MASHUKE. G=MIZANI . H=NGE. I=MSHALE. J==MBUZI. K= NDOO. L=SAMAKI. M=PUNDA. N=NG,OMBE. O=MAPACHA. P=KAA. Q=SIMBA. R=MASHUKE. S=MIZANI. T=NGE. U=SAMAKI. V=MBUZI. W=NDOO. X=SAMAKI. Y=PUNDA. Z=NG,OMBE..NA HIZO NI KUZIJUA NYOTA KWA KUTUMIA HERUFI YA MWANZO WA JINA LAKO.
PIA KUNA KUZIJUA NYOTA KWA KUZALIWA KUTOKANA NA MWEZI ULIOZALIWA MFANO.
TAREHE 19 MWEZI WA 1 HADI TAREHE 20 MWEZI WA 2 NI NDOO.
TAREHE 21 MWEZI WA 2 HADI TAREHE 20 MWEZI WA 3 N I SAMAKI.
TAREHE 21 MWEZI WA 3 HADI TAREHE 20 MWEZI WA 4 NI PUNDA.
TAREHE 21 MWEZI WA 4 HADI TAREHE 20 MWEZI WA 5 NI NG,OMBE.
TAREHE 21 MWEZI WA 5 HADI TAREHE 20 MWEZ I WA 6 NI MAPACHA.
TAREHE 21 MWEZI WA 6 HADI TAREHE 20 MWEZI WA 7 NI KAA.
TAREHE 21 MWEZI WA 7 HADI TAREHE 21 MWEZI WA 8 NI SIMBA.
TAREHE 22 MWEZI WA 8 HADI TAREHE 22 MWEZI WA 9 NI MASHUKE.
TAREHE 23 MWEZI WA 9 HADI TAREHE 22 MWEZI WA 10 NI MIZANI.
TAREHE 23 MWEZI WA 10 HADI TAREHE 21 MWEZI WA 11 NI NGE.
TAREHE 22 MWEZI WA 11 HADI TAREHE 21 MWEZI WA 12 NI MSHALE.
TAREHE 21 MWEZI WA 12 HADI TAREHE 18 MWEZI WA KWANZA NI MBUZI.
HIZO NDIZO NYOTA KWA NJIA YA TAREHE .
PIA NYOTA HIZI ZIKO KATIKA MAGURUDUMU KAMA NILIYOYATAJA HAPO NYUMA MFANO.
1. NDOO= MOTO
2. PUNDA = MOTO.
3. NG,OMBE =UDONGO
4. MAPACHA = UPEPO.
5. KAA=MAJI.
6. SIMBA=MOTO.
7. MASHUKE= UDONGO.
8. MIZANI =UPEPO.
9. NGE=MOTO.
10. MSHALE=MOTO.
11. MBUZI =UDONGO.
12. SAMAKI = MAJI.
nakubali
JibuFutaSijui nyota yangu nimezaliwa tarehe19 mwezi7
JibuFutaAnganile nicodem kazumba sijui tarehe yangu na Mimi pia
FutaDownloadHub is a Free Source of Full HD Movies. Here You can both Watch Online and Download HD Movies.
FutaNaomba kuijua nyota yangu nimezaliwa tarehe 18/04/1997 jina langu amina abdallah mama yangu ni khadija jee, nyota yangu ni ipi? na mafanikio yangu kwa upande wa biashara na mahusiano nitakuwaje naomba kujua tafadhal.....(kwa sasa sijaolewa)
JibuFutaShauny Andrew
FutaFADHILY SAM
FutaNaomba kuijua nyota yangu nimezaliwa 10/4
JibuFutajina langu ni halima na mama yangu hadija
Una nyota ya punda
JibuFutaMzee haji upo vizuri saaana
JibuFutaNaomba nifafanulie mizani ninabahati au mkosi
JibuFutaNataka kujua jinsi ya kugawanya majina
JibuFutaNataka kujua nyota yangu jina langu Sylvia jina la mama angu esta
JibuFutanaomba kujua nyota yangu jina langu ni elizabeth na mama yangu ni martha na baba yangu ni herman
JibuFutaMbona imebaki 14?
JibuFutaIFAHAMU MIZIMU NA MAJINI NA UNDANI WAKE KATIKA KUOMBA LOLOTE MALI,UTAJIRI, UPONYAJI N.K......
JibuFutaDOKTA MDIRO whatsp/call +255 742162843
ANGALIZO HUSIJARIBU JAMBO ULIZA KWA MAELEKEZO
Omba lolotee kwa njiaa ya mizimu mungu atatenda asema DOKTA MDIRO,
Kuna watu wakisikia neno mzimu wanatimkaa mbio lakini wakisikia neno mtakatifu wanabarikiwa na wakati ni kitu kilekile kasoro jina tu.
Daktari wa kiafrika anaitwa mganga wa kienyeji na wa kigeni ni Mtaalamu au mwanasayansi.
Ibada takatifu zinaitwa Kusali na za lienyeji zinaitwa matambiko amka wacha kulala.
watakatifu wa kiafrika wanaitwa mizimu, Mzimu nii binadamu yeyote yule aloachaa mwili na ANAISHIII na mungu karibu, kwaiyo sisi sote nii mizimu watarajiwa, unapomfananisha Mzimu na shetaani nikukataa ukuu wa afrikaa, wazungu Mzimu uloishiii vizuri dunian wanauita mtakatifu sisi mizimu iloishi vizuri na VIBAYA duniani tunaayaita mashetani.
Ndiomaana ktk orodha ya watakatifu karibu wote wazungu, waafrika wa kuwahesabu, @highlight
WAZUNGU KWENDA MAKABURINI WANAITA HIJJA , SISI KWENDA MAKABURINI TUNAITA MATANDIKO, HATA MZIMU WA NYERERE UMECHUKUWA MUDA KWELI KUFANYWA MTAKATIFU KWASABABU HAKUWA MZUGU.
🤫DOKTA MDIRO ANASEMA MIZIMU INAFAIDA KUBWA KTK MAISHA YA MUWAFRIKA, KUIKATAA NI KUKUBALI BALAAA NA KUKUBALI NI CHAZO CHA BARAKA.
NA MAISHA MEMA APA DUNIANI,
😒 Mikosi, manyanyaso balaa, na gundu ulizonazo haziwezi kuondoka mpk ukutane na mizimu yenu .
Dokta MDIRO ANAKUAMBIA MIZIMU YA BIBI YAKO NA BABU YAKO INAA MAJIBU YA MATATIZO YAKO.