JINSI YA KUJIFUNGUA KAMA UMEFUNGWA KICHAWI.

JINSI YA KUJIFUNGUA KAMA RIZKIZAKO ZIMEFUNGWA KISHILIKINA BIASHARA NK.
(1) Chukua kindu saba usiku wakati unataka kulala kisha uzifunge fundo moja moja kisha unasema mimi nimefungwa kilakitu na alienifunga simjui sasa namimi nimejiongezea kifungo nafunga njia zangu pia nafunga ufalme wangu na nafunga nyota zangu hadi siku zitakapo fungua hizi kamba. Kisha unaziweka mchagoni unalala na ikifika asubuhi unazitia ndani ya maji kwenyendoo ya kuogea weka na vifuatavyo.
(2) Nazi moja.
(3) Yai fresh moja.
(4) Unga wa majani ya mbaazi.
(5) Unga wa muosha fedha.
Oga hivyo vyote vikiwa ndani ya hiyo ndoo ya maji kisha unaanza kufungua kindu kwa kusema, alie nifunga alijua kamaliza sasa kuanzia sasa najifungua.
Ukimaliza kuzifungua uzichome moto halafu nazi na yai ni vya kuvuja kwa manuizi,
Unasema wewe yai umefungwa na sijui kama unamtoto wa kike au wa kiume namimi sijui akie nifunga kama ni wa kike au ni wa kiume nitakavyo kufungua wewe yai namimi nifunguke haraka sana, unalivunja.
Kisha unakamata nazi unasema wewe nazi hufunga na kufungua namimi najifungua kuanzia sasahivi nafungua nyotayangu, nafungua ufalme wangu, nafungua biashara zangu, nafungua bahati zangu kwa uwezo wa muumba mbingu na ardhi.
Nnauhakika ukilifanya zoezi hili kwa ufasaha utaona ajabu ya mambo yatakavyo funguka na mambo yataenda vizuli.
Hii inatumika hata katika biashara unamwaga hizo dawa katika biashara kisha unafungua kwa mtindo huo huo.
Kabla ya yote mtangulize mwenyezi mungu utashinda kwa kila gumu litakua jepesi.

Maoni

  1. Ni Safi kabisa lakini singine asijulikane msuri

    JibuFuta
  2. Hizo dawa unafanyia bafuni au nje

    JibuFuta
  3. Mafundisho mazuri je?nikitaka kumuona laivu anachokifanya

    JibuFuta
  4. Nataka kujua unga muosha fedha

    JibuFuta
  5. Nauliza je alieona paka wakifanya mapenzi hua anapatwa na mikosi, je kuondokea mikosi sharti afanye nini

    JibuFuta
  6. Kwa zaidi ya miaka 13 ya ndoa sikuweza kuzaa, naendelea kuharibika hata nikipata mimba, madaktari wote hawakuweza kunisaidia, hadi dada yangu akanielekeza kwa Dr DAWN, ambaye alinisaidia nikapata ujauzito na sasa hivi kuwa na mtoto mzuri wa kike,
    Anasaidia pia marafiki zangu wengi niliowaelekeza, Dr DAWN ni baraka kwa kila mtu anayewasiliana naye,
    *Kama unataka kupata mimba.
    *Ukitaka kuacha kuharibika kwa mimba.
    *Ukitaka kumrudisha mpenzi wako.
    *Kama unataka mume/mkeo arudishwe.
    *Kama unataka kurejesha mali yako iliyoibiwa au Pesa.
    *Ukitaka kutibu aina yoyote ya ugonjwa,
    Wasiliana naye kwa WhatsApp: +2349046229159

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Jinsi ya kujua nyota yako kwakutumia tarehe yako ya kuzaliwa

TAFSILI ZA NDOTO MBALI MBALI

TAREHE YAKO YA KUZALIWA NA MAANA YAKE.