KUMJUA MTU KUTOKANA NA MAUMBILE YAKE.
HIKI NI KITABU CHA KUMJUA MTU KWA MAUMBILE TAKE KWASASA KIKO MADUKANI KIMEJAA MAMBO MENGI YENYE FAIDA NA AMBAYO HUENDA YAKAKUSAIDIA KUJUA MAMBO MENGI.
KINA PATIKANA KILA DUKA KWA GARAMA NAFUU.
YALIYOMO
1.
Maumbile na tabia zake.
2.
Tarehe ya mtoto kuzaliwy6a na tabia
zake.
3.
Kuwashwa kiungo na ishala yake.
4.
Doti jeusi la kuzaliwa nalo na maana
yake.
5.
Herufi ya mwanzo wa jina lako na
langiyako ya bahati.
6.
Jinsi ya kujitazamia kama uta
fanikisha au laa kwa kitu chochote.
Kwanza
natanguliza shukrani nyingi kwa muumba mbingu na ardhi na vilivyomo kwa
kunijaalia elimu mbali mbali na kunijaalia afya na namuombapia akujaalie wewe
unae nunua kitabu hiki unufaike na elimu hizi utakazo zisoma katika kitabu
hiki. Napia nachukua nafasihii kuwashukulu wazazi wangu baba na mama kwa
kunilea vyema na kunifundisha maadili ya kuishi na watu.
Kitabihiki
nitawapa elimu ya kumjua mtu tabia zake kutokana na maumbile yake kwa alama au
kwa jinsi alivyo katika pajilake la uso na kumsoma mume au mke kutokana na
herufi ya kwanza ya jinalake.
MAUMBILE NA TABIA ZAKE.
1. Mtu mwenye lipsi za mdomo nyembamba,
niwatu wanao penda kazizao wafanyiwe vizuli na wakikutana na mtu mwenye lipsi
pana basi hupata mafanikio ki maisha.
2. Mtu mwenye lipsi ya mdomo iliyo
ninginia, mtu huyo hana utu hata tone na maamuziyao ni ya taratibu pia niwazito
hata kukalibisha wageni.
3. Watu wenye maskio makubwa, wana
malingo na niwatu wenye kujiskia sana.
4. Watu wenye maskio ya kawaida ni
waskivu na pia ni wajanja na wabunifu.
5. Watu wenye maskio madogo, ni watu
wasio penda maisha yaani wao bola maisha yanasonga na hawana upendo hata
kidogo.
6. Mtu mwenye manyama maskioni, ni
wafitinishaji na hawapendi wenzao wapate.
7. Mtu mwenye pua ndefu na nyembamba,
mtuhuyo ni mwenye busala na upendo na ni mbunifu na pia ni mtu mwenye kuridhika
na maisha yake.
8. Mtu mwenye pua iliyo lala, ni mtu
mwenye kupenda ugonvi na ni mshari.
9. Mtu mwenye pua iliyo chomoza, ni
mwenye malingo na majivuno.
10.
Mtu
mwenye pua nyekundu kama damu, ni ishala ya urevi.
11.
Watu
wenye minyama katika kidevu, niwatu makinisana na niwatu wanao penda na kujali
familia zao.
12.
Watu
wenye kidevu frat kwa chini, ni watu wenye hisia kalisana.
13.
Mtu
mwenye kidevu kilicho chongoka, ni mwenye malingo na majivuno na ni mwenye
kujiskia.
14.
Mtu
mwenye sauti nzito, ni muongeaji sana na nimtu mwenye nguvu.
15.
Mtu
mwenye sauti iliyo fifia, ni mwnyekua na aibusana ila ni muongo muongo.
16.
Watu
wenye kuongea kwa vituo, watuhawa ni wenye hakili sana na pia wana busala na
hekma. Pia wanapenda amani na maamuzi yao ni ya busala.
17.
Mtu
mwenye sauti ya kutetemeka tetemeke, ni mtu muoga na anawivu wa ki sili sili.
18.
Mtu
mwenye sauti kubwa hupenda ushindi na hapendi kushindwa, ni mshindi.
19.
Mtu
mwenye sauti ya kukwaluza, ni mwenye fikra ndogo na hana msaada na mtu yeyote.
20.
Mtu
mwenye paji la uso kubwa, nimtu wa ujanja ujanja.
21.
Mtu
mwenye paji la uso lililo nyooka, mtuhuyo ni dhaifu dhaifu.
22.
Mtu
mwenye paji la uso la kuchomoza, mtu huyo ni bahili sana.
23.
Mtu
mwenye paji la uso la kutelemka, mtu huyu ana roho mbaya sana.
24.
Mtu
mwenye paji la uso nyololo, ni mtu mwenye ubunifu wa mambo mbali mbali.
25.
Mtu
mwenye paji la uso lenye mikunjo, ni mtu mwenye kujipenda na kujijali.
26.
Mtu
mwenye paji la uso la kukonyeza, ni mtu wa kupendwa na watu na wanamvuto ki
mapenzi.
27.
Mtu
mwenye paji la uso la kushaangaa, mtuhuyo ni mwenye akili za kitoto.
28.
Mtu
mwenye macho madogo, ni mtu wa kuhisi kitu na kinatokea na watuhawa ni
masharifu na hupenda kusema ukweli na wanapenda kutendewa haki.
29.
Mtu
mwenye macho ya kulengalenga machozi, watuhawa hua wanaimani potofu na hupenda
kukaa wanajihisi.
30.
Mtu
mwenye macho makubwa, ni mtu mkarimu
sana na anapenda amani.
31.
Mtu
mwenye mdomo wa kawaida ni mtu mwenye tabia nzuli.
32.
Mtu
mwenye mdomo mkubwa, nimtu mwenye aya na pia nimtu mwenye busala.
33.
Mtu
mwenye mdomo wa juu ulio binuka, watuhawa ni hatari sana na hasa ukiwa chokoza
utaoga matusi hadi utakoma na hawana dogo wao ukiwakosea kidogo hujajuu na
hawapendi kuongelea chini wanataka wapaze sauti juu. Nduguyangu ukitaka kuoa na
umepata mke mwenye mdomo wa juu uliobinuka jipange.
34.
Mtu
alie zaliwa na ulemavu wa miguu au mikono, watuhawa huwa wana hasila sana na
wanapenda ugonvi japo hawajiwezi.
35.
Mtu
mwenye ulemavu wa kuzungumza yaani bubu, watuhawa ni wacheshi na pia ni wepesi
wa kumsoma mtu ila niwakorofi sana na wakianzisha ugonvi hauushi.
36.
Watu
wafupi ni wenye hasila za kati.
37.
Watu
wembamba warefu kiasi, ni wenye hisia kali ki mapenzi na niwabunifu kitandani.
TAREHE YA KUZALIWA NA TABIA YAKE
Hizi ni
tabia za kilamtu kulingana na tarehe aliyo zaliwa kuanzia tarehe moja hadi 30. Terehe
31 tunaihesabu sawa na tarehe moja.
1. Mtu alie zaliwa tarehe 1 atakua ni
mtu wa bahati sana na maishayake ni marefu.
2. Mtu alie zaliwa tarehe 2 atakua na
bahati ya kupata vitu kwa ulahisi pasipo kuhangaika.
3. Mtu alie zaliwa tarehe 3 atakua mtu
wa kupendwa sana nawatu wenye uwezo.
4. Mtu alie zaliwa tarehe 4 atakua ni
mtu wa kuugua ugua kila wakati na vifovyao ni vya gafra.
5. Mtu alie zaliwa tarehe 5 ndoto zake
zitakua ni za ukweli lakini atakua muongo muongo.
6. Mtu alie zaliwa tarehe 6 atakua na
maisha marefu na ni mwenye afya.
7. Mtu alie zaliwa tarehe 7 atakua na
maisha marefu lakini atakua ni mtu wa misukosuko ya kila mala.
8. Mtu alie zaliwa tarehe 8 atakua ni
mtu wa kubri yani kila atakacho kifanya anafanikiwa.
9. Mtu alie zaliwa tarehe 9 atakua na
mafanikio na umri mrefu.
10.
Mtu
alie zaliwa tarehe 10 atakua na maisha marefu na mafanikio yake yatakua ni
sehemu za mbali au afanye biashara ya kusafili.
11.
Mtu
alie zaliwa tarehe 11 atakua mchamungu.
Kuota muanfikia msingi na unaporomoka
JibuFutaMaoni haya yameondolewa na mwandishi.
JibuFutaThe article is really good, permission to comment here admin Pesona mata
JibuFutadah darasa safi sana
JibuFutaNDAGU AU MAJINI KWA MUDA MFUPI MPAKA MASAA 72(SIKU 3) PAPO HAPO ULIPO KUPITIA KALAMA KWA MASHARTI MAALUM KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......
JibuFutaKUMBUKA MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA
kwa maelezo kamili piga namba +255742162843
HACHA KUTANGATANGA PUUZA UONGOFU WA KUWA MTU KUWA TAJIRI NI DHAMBI WAKATI AKUAMBIAE YEYE NI TAJIRI
NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI NA KUTUNZA SIRI......
NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU ULINZI KWA MALI YAKO
(HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)
MATIBABU MENGINEYO NI KAMA UTULIVU KATIKA NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE, KUONDOA MIKOSI, MABALAA, KUOSHA NYOTA, KUITAMBUA NYOTA YAKO NA ASILI YA KAZI YAKE, KAMA UNASUMBULIWA NA MAJINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI.
NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA YA DHATI.