Jinsi ya kujua nyota yako kwakutumia tarehe yako ya kuzaliwa

Hii ni kuijua nyota yako kwa njia ya tarehe na ndo sahihi kuliko njia zingine maana katika jina unaweza kukosea herufi na ikakuletea nyota tofauti.

  1. TAREHE 21 - 03     HADI   22 - 04               PUNDA
  2. TAREHE 22 - 04     HADI   21 - 05               NG’OMBE
  3. TAREHE 22 - 05     HADI   20 - 06               MAPACHA
  4. TAREHE 21 - 06     HADI   22 - 07               KAA
  5. TAREHE 21 - 07     HADI   22 - 08               SIMBA
  6. TAREHE 23 - 08     HADI   22 - 09               MASHUKE
  7. TAREHE 23 - 09     HADI   22 - 10               MIZANI
  8. TAREHE 23 - 10     HADI   21 - 11               NGE
  9. TAREHE 23 - 11     HADI   21 - 12               MSHARE
  10. TAREHE 22 - 12     HADI   21 - 01               MBUZI
  11. TAREHE 22 - 01     HADI   19 - 02               NDOO
  12. TAREHE 20 - 02     HADI   20 - 03               SAMAKI

Jinsi ya kuijua nyota kwa kutumia jina lako kamili

Chukua jina lako na la mama na ugawanye kwa 12 kisha ukipata jibu hiyo ndo nyota yako kama hujui tarehe yako ya kuzaliwa.
  1. Ikibaki moja ni punda.
  2. Ikibaki mbili ni ng,ombe.
  3. Ikibaki tatu ni mapacha.
  4. Ikibaki nne ni kaa.
  5. Ikibaki tano ni simba.
  6. Ikibaki sita ni mashuke .
  7. Ikibaki saba ni mizani .
  8. Ikibaki nane ni nge.
  9. Ikibaki tisa ni mshale.
  10. Ikibaki kumi ni mbuzi.
  11. Ikibaki kumi na  moja ni ndoo.
  12. Ikibaki kumi na mbili ni samaki.

Asili ya nyota

  • Punda = moto.
  • Ng’ombe = udongo
  • Mapacha = upepo.
  • Kaa = maji.
  • Simba = moto
  • Mashuke = udongo
  • Mizani = upepo.
  • Nge = maji
  • Mshale = moto.
  • Mbuzi = udongo.
  • Ndoo = upepo
  • Samaki = maji.

Maoni

  1. Maoni haya yameondolewa na mwandishi.

    JibuFuta
  2. Ingiza maoni yako...mimi nawatakiawanaotakakujuanyotazaowasionekamauchawikwaninimojawapoyakujijuanyotayakoniipinakuelewakabisaweweniainaganiyanyota

    JibuFuta
  3. sasa hizo herufi una zigawaje...??

    JibuFuta
  4. nataka kujua nyota yangu mim ni rashidi mama ni siasa

    JibuFuta
  5. sifa za watu wenye nyota ya mapacha

    JibuFuta
  6. Nahitaji kujua nyota yangu naitwa rahibu shabani salehe

    JibuFuta
  7. Naitwa Ignatius M nimezaliwa April 29. Naomba kujua nyota yangu. Naomba ya mawasiliano ni 0621191794

    JibuFuta
  8. Mimi nyota yangu ni mashuke nimezaliwa 28 mwez wa 8....huwa Mara kwa Mara naota nacheza mpira mpk Jana usiku nimeota hiyo ndoto lkn nikipewa pasi miguu yangu huwa haina nguvu ya kupiga mpira

    JibuFuta
    Majibu
    1. Lewis Pro, mambo mawili, Jini aliyesukumwa na Adui wako pili tatizo la kiafia, kamuone daktari wa mambo ya majini mbalimbali hasa jini mahaba

      Futa
  9. NAITWA YUSUPH JUMA SHAKA nimezaliwa 28-08-1988

    JibuFuta
  10. Mbona ukitumia hesabu ya tarehe ya kuzaliwa na hesabu ya jina nyota zinakuja mbili tofauti

    JibuFuta
    Majibu
    1. Naitwa George mshomi nimezaliwa 14/01/1989 nyota yangu in IPI

      Futa
  11. Mi cjaelewa jinsi ya kuangalia nyota ang...em nelewexhe naitwa yusra mama ang anaitwa amima

    JibuFuta
  12. Naitwa semme mafuru nahitaji kujua nyota yangu na maana yake nimezaliwa 20/12/1990 namba yangu ya simu 0763699124

    JibuFuta
  13. nambieni yangu nimezaliwa tarehe 20/11/1990 nyota yangu ni ipi nitumiye kwa whatsapp yangu +250733713028

    JibuFuta
  14. Kama nikigawa kwa 12 nikapata ziro nyota yangu ni ipi?

    JibuFuta
  15. Mi sijui tare ya kuzaliwa mama angu anaitwa rozi mi naitwa zakaria

    JibuFuta
  16. Nataka kujua nyota yangu ni ipi? Naitwa Arnold mama ni Annie

    JibuFuta
  17. Naomba msaada nijue Nyota yangu

    JibuFuta
  18. Pia ktk majina ili kujua Nyota unaandika mangapi

    JibuFuta
  19. Nahitaji Kuijuwa Nyota Yangu Naitwa Ramadhani Rajabu Nimezaliwa Tarehe 5/5/1991

    JibuFuta
  20. Happy mother's day.... I feel words can't do better to explain my best feel,,,,,I wish I had money to buy my mum a jet 😍😍😍😍

    JibuFuta
  21. I was born on March 25th

    JibuFuta
  22. I was born on March 25th

    JibuFuta
  23. Nimezaliwa 21/6/1991 jina livin

    JibuFuta
  24. Naomba namna ya kujumlisha jina langu na la mama,kipi kinajumlishwa n tarehe ya kuzaliwa,mwezi au mwaka?

    JibuFuta
  25. Sawa nimekuelewa lakin vipi kuhusu tabia zanyota hizo naomba nipedarasa hilo namba hiz whatsapp +255626869149

    JibuFuta
  26. Sasa mm natak nijuwe nyota yangu na nyota gan baendan nayo kweny mahusiano +255 622 560 989

    JibuFuta
  27. Samhny nakuomb niunge kwenye group la WhatsApp+255672446961

    JibuFuta
  28. Nataka kujua nyota yangu mm nilizaliwa 03/30/1997

    JibuFuta
  29. Kama ukijumlisha jina la lako na la mama yako jumla yake ni 10 unagawaje kwa 12

    JibuFuta
  30. Naitwa mohamedi mama anaitwa bi hawa pls

    JibuFuta
  31. Naitwa James mama anaitwa katarina nimezaliwa 1/9/1999

    JibuFuta
  32. Majibu
    1. Naitwa richard raphael nilizaliwa tarehe 13-3-1995 nahitaji kujua nyota yangu niipi mukuu

      Futa
  33. Je unaweza kuwa kwenye mahusiano na mtu unayefanana nae nyota na mahusiano yakadumu?

    JibuFuta
  34. Nilikuwa nauliza. Punda na punda wanaweza kuishi vizuri maana sote ni moto

    JibuFuta
  35. Sawa nimekuelewa. Hakuna madhara yoyote ili tujilinde na hali ya kiuchumi na kimafanyikio

    JibuFuta
  36. Naitwa abdul badiru naomba kujua nyota yangu na ninafaa kuoa elufu ipi ,Kati ya f, na n nichagulie elufu moja

    JibuFuta
  37. Mafaniki ya mtu wa tarehe 25 niyapi au hali yake ya kiuchumi inakuwaje

    JibuFuta
  38. Mtu wa tarehe 25 ana nyota gani

    JibuFuta
  39. Naomba kujua nyota yangu kamili
    Fadhili
    15/2/1990
    Jina mama sauda

    JibuFuta
  40. Why there is missing date between star 8 and 9 there is no 22 November there.....
    Refer
    DATE 23 - 10 TO 21 - 11 NO
    DATE 23 - 11 TO 21 - 12 MSHARE

    JibuFuta
  41. Kwa zaidi ya miaka 13 ya ndoa sikuweza kuzaa, naendelea kuharibika hata nikipata mimba, madaktari wote hawakuweza kunisaidia, hadi dada yangu akanielekeza kwa Dr DAWN, ambaye alinisaidia nikapata ujauzito na sasa hivi kuwa na mtoto mzuri wa kike,
    Anasaidia pia marafiki zangu wengi niliowaelekeza, Dr DAWN ni baraka kwa kila mtu anayewasiliana naye,
    *Kama unataka kupata mimba.
    *Ukitaka kuacha kuharibika kwa mimba.
    *Ukitaka kumrudisha mpenzi wako.
    *Kama unataka mume/mkeo arudishwe.
    *Kama unataka kurejesha mali yako iliyoibiwa au Pesa.
    *Ukitaka kutibu aina yoyote ya ugonjwa,
    Wasiliana naye kwa WhatsApp: +2349046229159

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

TAFSILI ZA NDOTO MBALI MBALI

TAREHE YAKO YA KUZALIWA NA MAANA YAKE.