TARASIMU YA AJABU
Katika tarasimu za ajabu na hii ni moja wapo japo utaiona ni ndogo sana.
Tarasimu hii inafanya mambo mengi makubwa na ya ajabu pia inauwezo wa kubadilika kutoka katika picha na kuwa kiumbe hai na ukaiagiza utakaacho.
Njia ya kwanza, tarasimu hii inaita jinni kwa mtindo ufuatao.
Nenda porini na unga wa pemba nyeupe pamoja na udi tano na mishumaa myekundu miwili na myeupe miwili na mweusi mmoja.
kisha unachora picha hiyo kwa kutumia huo unga kisha unawasha mishumaa yako kwa kuanza na myeupe kisha myekundu kishwa mweusi.
Mishumaa myeupe inakua katika uwazi wa juu ya maskio na mishumaa myekundu inakaa katika uwazi wa chini ya maskio.
Mshumaa mweusi unaweka katikati ya pembe.
Nyuma ya mchoro huo utachora utachora mchoro ufuatao utauchora ardhini kwa kutumia fimbo ya mwanzi.
Mchorohuo ni kwa ajili ya kukaa wewe na fimbo uliyo cholea unaiweka mbere yako.
Washa mishumaa kwa kutumia kiberiti cha njiti kipya na unawasha kwa kuanza na mishumaa myeupe kisha mwekundu kisha mweusi.
Wakati huo huo unawasha na udi zote tano kila udi unaiweka karibu na mshumaa.
Ukisha maliza maandalizi yote kaa katika duala lako na kwa kutazama mbele ulikochora jedwali la mwanzo kisha unaanza zoezi la kuvuta pumzi kwa kuingiza ndani taratiabu hadi utakapo his pumzi haiingii tena na unaiachia taratiiibu hadi iishe tumboni.
Utafanya namna hiyo mpaka mara tisa kisha utaanza kuita jinni utakae kua umedhamilia kumuita.
Mfano unamuita jabbari unaita kwa kusema wewe jabbari njoo kwa nguvu za mkuu wako na kwa amri za mkuu wako njoo bira kunitisha na uje kwa kunitii, utafanya hivyo hadi utakapo hisi upepo mkari unakuja na mishumaa itazimika hapo utasema nataka tuonane ana kwa ana na tufanye mazungumzo ili kujua jinsi ya kukuita siku nyingine.
Baada ya maneno hayo utafunga macho kama dakika tano
utakapo fungua utamkuta tayali amesha kaa katika duala ulilo chora kwa unga lililoko mbele yako.
Utamwambia ulicho muitia na utamwambia kwa kumkomandi na sio kwa kumbembeleza kisha utamuuliza kama mumeafikiana.
kisha utamwambia akupe key yani neon la siri utakalo kua unatumia ukitaka kuwasiliana nae kwa wakati mwinginenayeye hatasita kukwambia na atakwambia nisikugani za kuwasiliana nae.
Kitu cha muhimu cha kuzingatia ni maandishi katika ile fimbo ya mwanzi au fimbo ya mzizi wa muembe dodo maana maandishi hayo yanamfanya jinni atii.
Mandishi ni haya hapa chini.
Baada ya kumaliza maagano hayo na huyo jinni tayali kwa kumuondosha.
Kumbuka wakati unamuita unakua unachoma buhuri zifuatazo,
majani ya mtende.
Uvumba
Ubani maka.
Kangaa ya mti wowote.
Kachiri.
Kama unaita wa sharri tumia ubani shari.
Kazi hiyo unaweza ukaifanya hata mchana kama poli litakua mahali pazuli na paturivu kama pori likokaribu na makazi ya watu basi kazihii ifanyike usiku.
Na siku nzuri ni ijumaa kuamkia juma mosi au jumamosi mchana.
Kumbuka jinni huyu ni hatari sana kama hujiamini na wewe ni muiga usimuite unaweza kuhatarisha maisha yako na anaweza hata kukusababishia kuwa taahira.
Jinni huyu ni jinni anaetawara katika bara zote nyeusi na nyeupe inamaana unapo muita haji yeye kama yeye wanaokuja ni wafuasi wake waogo.
Nakama unataka awe rafiki wa siku zote inatakiwa uende na mbuzi beberu mwenye mapembe marefu ambae ameshaanza kutoa harufu ya kibeberu.
Na ukihisi anakuja utamchinja huyo mbuzi kushoto mwa lile jedwali la unga.
Na baada ya kumaliza mazungumzo nae utakata pembe moja utaendanalo nyumbani ambalo utalitia yale mafusho uliyotumia kumuita na damu kidogo ya Yule mbuzi ulie mchinja.
Pembehiyo itakua ndiyo simu au mawasiliano baina yako na huyo jinni.
Jinsi ya kuwasiliana na jinsi ya kulitumia hilo pembe kama simu atakuelekeza yeye.
angalizo
Utaratibu huu sio wa kufanyia mzaha wala kujalibu kama umeamua kufanya fanya kwa moyo mmoja na wakati unaenda porini nenda ukijua unaenda kukutana na kiumbe au viumbe.
Pia unapo fanya kazihii hakikisha usiwe na kiwembe wala sindano.
HABARI HIZI ZIMO KATIKA KUTABU CHANGI CHA SIHIRUL JILBI CHA KISWAHILI AMBACHO KINA TARASIMU 77 ZA AJABU, KUVUTA, KUPIGA, BIASHARA, FARAQAT, MAPENZI, NK.
KAMA UTAKIHITAJI WASILIANA NAMI KWA SIMU NO,
0767 393934 au 0685 393934 au 0657 555550

MBONA HIZI PHOTO HAZISOMI NA NADHANI NI TALASIMU
JibuFuta