KUITA MPENZI KWA KUTUMIA MSHUMAA

KUITA MPEMZI KWA KUTUMIA MSHUMAA WA PINK.
Chukua mshumaa wa pinki uuandike makusudio yako mfano, wewe mshumaa nataka uniitie mpenziwangu furani aje kwangu mimi furani aniwaze na anifikirie kiramala na kama nilimuudhi anisamehe.
Mshumaa huo unauandika kwa kutumia mwiba au pini kisha uupake mafuta ya rozi.
Kisha andika manuizi mengine kwenye karatasi nyeupe. Washa mshumaa wako sa6 za usiku ukiwa uchi na uanze kumuita fulaniii fulaniii fulaniii njoo nimimi furani nakuita njoo haraka sana mahali popote ulipo usipate usingizi na usiwaze chochote uniwaze mimi furani.
Ukisha maliza kuita kisha karatasi uliyokua umeiandika manuizi unaiunguza kwa kutumia huo mshumaa.
Baada ya hapo utaacha mshumaa uungue hadi uishe asubuhi utazoa mabaki pamoja na majivu ya ile karatasi funga katika kitambaa chekundu na uweke uvunguni mwa kitanda chako.
Atakuja haraka sana na kwa mapenzi makubwa.
HII NI KITU MOJA KATI YA VITU VILIVYOMO KATIKA KITABUCHANGU CHA MAAJABU YA MISHUMAA NA UDI.
Comment

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Jinsi ya kujua nyota yako kwakutumia tarehe yako ya kuzaliwa

TAFSILI ZA NDOTO MBALI MBALI

TAREHE YAKO YA KUZALIWA NA MAANA YAKE.