DALILI ZA MTU MWENYE MAJINI.
DALILI ZA MTU MWENYE MAJINI NA MIZIMU
kuna kujitambua kuwa una majini kwa njia mbalimbali.kujitambua kwa njia ya ndoto ya dhahili.
DALILI ZA DHAHILI.
(1) a.kizunguzungu.
(2) b.vitu kutembea tumboni.
(3) c.vicheza mwilini.
(4) d.kichwa kuuma mara kwa mara.
(5) e.kuhisi mtu anatembea nyuma yako.
(6) f.kupiga mihayo sana.
(7) g.macho kukosa aibu.
(8) h.hasira za mara kwa mara.
(9) i.kupoteza kumbukumbu.
(10) j.ugomvi wa mara kwa mara hasa kwa wana ndoa.
(11) k.maradhi ya kujibadilisha badilisha.
(12) l.kuhisi baridi mara kwa mara.
(13) m.kutojisikia kuongea hasa wakati unaposemeshwa na mtu unaona kama
anakusumbua.
(14) n.masiko kupiga kelele.
(15) o. kuhisi vitu vinaongea masikioni.
(16) p.kupoteza hela mara kwa mara kwa njia ya kutatanisha.
(17) q.kuharibikiwa na vitu hasa vya moto.
(18) r.matatizo ya hedhi kufungika au kutoka kwa wingi au kukosa kabisa.
(19) s.kufungika kwa kizazi.
(20) t kustuka stuka wakati wa usiku au kustuliwa.
(21) u.moyo kuongopa sawa na mtu mwenye presha.
(22) v.kupungukiwa damu na kukonda au kuishiwa maji mwilini mala kwa mala.
(23) w.kupungukiwa nguvu za kiume au za kike.
(24) x.kusikia uchungu wakati wa tendo la ndoa au unapomaliza hata unapo anza hasa kwa kina mama tatizohili lipo sana.
(25) y. kuhisi kichefuchefu unapomaliza tendo la ndoa.
(26) z.kuhisi manukato au harufu mbaya.
(27) aa.kukosa hamu ya kula au kubagua chakula.
(28) bb.mimba kupotelea tumboni.
(29) cc. kuhisi watu wanakusemesha na hauwaoni.
(30) dd.kifafa, kuna vifafa vya kawaida na vifafa vya kulogwa pia kuna vifafa v isababishwavyo na jinni maiti.
(31) ee.kichaa, malanyingi vichaa hutumiwa majini waitwao asahha.
(32) ff.pia majini humsababisha mwanamke kuwa mkali wakati anapoombwa
(33) tendo la ndoa.
(1) DALILI KATIKA NDOTO.
(2) a.ndoto za kufukuzwa na wanyama wakali.
(3) b.ndoto za kuota unajifungua (kuzaa).
(4) c. kuota unapigwa.
(5) d.ndoto za kuogelea.
(6) e. ndoto za kupaa.
(7) f.ndoto za kuota umepandishiwa jini.
(8) g. ndoto za kuota umeoa au umeolewa.
(9) h.kuota umevalishwa pete au mkufu.
(10) i.kuota unapigana.
(11) j.kuota unapiga kelele.
(12) k.kuota moto mkubwa.
(13) l. kuota unazika.
(14) m.kuota umekufa.
(15) n.kuota unafukua kabuli.
(16) o.kuota sherehe mara kwa mara.
(17) p.kuota unaongea na watu waliokufa.
(18) z.kuota unaona visuguu.
(19) aa.kuota unaona mafuvu wa watu.
(20) bb.kuota unapiga ramli.
(21) cc.kuota unavaa bangili au shanga, mizimu au majini.
(22) dd.kuota watu wanachunga ng,ombe.
(23) ee.kuota watu wamevaa nguo nyeupe wame kusimamia.
(24) ff.kuota unakabidhiwa mkuki,fimbo,mundu,mbuzi,kondoo,ng,ombe
na kitambaa cheupe, che kundu au cheusi ni dalili ya mizimu au majini.
(25) gg.kuota vijumba vya mizimu.
(26) hh.kuota vibuyu ni dalili ya mizimu..
(27) ii.kuota unakunywa au unanyeshwa damu.
(28) kk.kuota watu wamevaa kanzu.
hizi ni dalili za majini kwa njia za ndotoni japo zipo nyingi ila nawatajia hizi hapa
kwa ufupi.
na pia namuomba mwenyezi mungu aendelee kunipa fahamu ili niendelee
kuwaelimisha na kuwafundisha mambo mengi ya kuwatambua majini kwa njia za
njozi pia kwa njia za dhahili.
watu wengi wanasumbuka na mashetani ,mizimu,majini, maiti lakini hawajitambui sasa nahitaji kuwapa elimu ili muweze kufaidika nazo na kijifahamu mapema ili kuwaondoa mapema kabla hawajazaana au kuitana.
Na pia nawafundisha dawa kwa ajili ya huduma ya kwanza na kujikwamua na adha hii ya majini.
asante yenu itanisababisha kazi yangu kusonga mbele na hii ni moja ya sadaka.
kwa sasa majini ndio wanaongoza kwa kuwatesa watu, kuwatia nuksi, kuwafilisi, pia na kuvunja ndoa za watu.
majini wamekua ni kesi kubwa sana kwetu maana wamejaa sana na wanasumbua sana ummahuu na wachawi hutumia majini kwa ajili ya kuwatesa watu.
Ee mola mlezi tunusuli na sharri za majini na wayatumiayo, aamina in shallah.

Maoni
Chapisha Maoni