Machapisho

KUMJUA MTU KUTOKANA NA MAUMBILE YAKE.

HIKI NI KITABU CHA KUMJUA MTU KWA MAUMBILE TAKE KWASASA KIKO MADUKANI KIMEJAA MAMBO MENGI YENYE FAIDA NA AMBAYO HUENDA YAKAKUSAIDIA KUJUA MAMBO MENGI. KINA PATIKANA KILA DUKA KWA GARAMA NAFUU. YALIYOMO 1.      Maumbile na tabia zake. 2.      Tarehe ya mtoto kuzaliwy6a na tabia zake. 3.      Kuwashwa kiungo na ishala yake. 4.      Doti jeusi la kuzaliwa nalo na maana yake. 5.      Herufi ya mwanzo wa jina lako na langiyako ya bahati. 6.      Jinsi ya kujitazamia kama uta fanikisha au laa kwa kitu chochote. Kwanza natanguliza shukrani nyingi kwa muumba mbingu na ardhi na vilivyomo kwa kunijaalia elimu mbali mbali na kunijaalia afya na namuombapia akujaalie wewe unae nunua kitabu hiki unufaike na elimu hizi utakazo zisoma katika kitabu hiki. Napia nachukua nafasihii kuwashukulu wazazi wangu baba na mama kwa kunilea vyema na kunifundisha maadili ya kuishi na watu. Kitabihiki nitawapa elimu ya kumjua mtu tabia zake kutokana na maumbile yake kwa alama au kwa jins

UCHAWI

HAYA KWA WALE MSIO AMINI KAMA UCHAWI UPO JARIBU NA HAPA. JINSI YA KUITA MZIMU NA KUUTUMA UNACHOKITAKA. Nenda katika mti wa mwembe dodo unauchimba ukiwa uchi kisha unaufunga kamba na unauvuta kutoka kwa hiyo shimo mpaka mahali ulipovulia nguo kwa kutumia mguu.Wakati unauvuta unasema kama anavyokuvuta wewe naomba ukanivutie mzimu wa makaburini wa mtu yeyote na ukamvute kwa nguvu zote na unaburuza mpaka ulipovulia nguo urefu wa mita tano kisha ufungue na uvae nguo zako kisha un aenda nyumbani,ukifika nyumbani ulaze nje.Kumbuka kazi hiyo unaifanya usiku kuanzia saa mbili na kuendelea.Mzizi huo utauanika upondeponde kisha uusage ukishakauka.. Chukua mashahidi ya makaburi saba,saga changanya na huo mzizi wa mwembe. Mzizi wa mbaazi ulio maliza mwaka. Kivumbasi kilichoota kaburini changanya na udi za wormwood na sandalwood kisha unga huo utautumia kama ubani.Utachukua unga awa chaki nyeupe uchore sako ilioko hapo mbele kwa kutumia unga huo kwa chaki nyeupe au pemba nyeupe na

KITABU CHA FUNGUO NO2

HII NI BAADHI YA MAMBO YALIYOMO KATIKA KITABU CHANGU CHA FUNGUO NO2 KITABU HIKI NIMEAMUA KUKIANDIKA NA KUWEKA MAMBO MENGI HADHALANI ILI KUWAPUNGUZIENI TABU MBALI MBALI ZITOKANAZO NA UCHAWI NA MAJINI NA KILA AINA YA USHILIKINA.   MAANA BINADAMU WA SASA WAMEBADILIKA SANA NA HAWATAKI MAENDELEO YA WENZAO. KWA MATATIZO YA MASHETANI NA MAJINI. ل WAGANGA MATAPELI HUTUMIA NJIA HII KUWAIBIA WATU, SASA NATOA ELIMU BURE NA NAMUOMBA ALLAH AWAFANYIE WEPESI DAWAZANGU ZIWASAIDIE NA MIMI PIA MUNIOMBEE NIZIDI KUWAPA ELIMU MBALI MBALI. AAMINA.                                 YALIYOMO (1)              Jinsi ya kujifungua kama umefungwa kichawi. (2)              Jinsi ya kuvuta wateja katika biashara yako. (3)              Jinsi ya kutoa mikosi mwilini. (4)              Maajabu ya dua ya inna anzalnahu. (5)              Dawa ya kuzuia chuma ulete. (6)              Dawa ya kufukuza majini katika nyumba au mwilini. (7)              Dalili za mtu mwenye majini na mashetani. (8)  

IJUE NYOTA YAKO.

IJUE NYOTAYAKO NYOTA JINSI YA KUFAHAMU NYOTA YAKO CHUKUA JINA LA BABA YAKO CHUKUA JINA LAKO   NA LA MAMA GAWANYA   KWA KUMI NA MBILI. 1.            IKIBAKI MOJA NI PUNDA. 2.            IKIBAKI MBILI NI NG,OMBE. 3.            IKIBAKI TATU NI MAPACHA. 4.            IKIBAKI NNE NI KAA. 5.            IKIBAKI TANO NI SIMBA. 6.            IKIBAKI SITA NI MASHUKE . 7.            IKIBAKI SABA NI MIZANI . 8.            IKIBAKI NANE NI NGE. 9.            IKIBAKI TISA NI MSHALE. 10.       IKIBAKI KUMI NI MBUZI. 11.       IKIBAKI KUMI NA   MOJA NI NDOO. 12.       IKIBAKI KUMI NA MBILI NI SAMAKI. NA PIA KUNA NYOTA ZA AINA NNE AMBAZO NDIZO NYOTA ZA ASILI NA UKITAKA KUZIJUA NYOTA HIZO UNACHUKUA JINA LAKO LA BABA NA LA MAMA UNAGAWANYA KWA NNE 1.            IKIBAKI MOJA NI   MOTO . 2.            IKIBAKI MBILI NI UDONGO. 3.            IKIBAKI TATU NI UPEPO. 4.            IKIBAKI NNE NI MAJI. NYOTA HIZI NDIZONYOTA ZA ASILI AMBAZO INATAKIWA TUZIFAHAMU MF