Machapisho

KITABU CHA FUNGUO NO2

HII NI BAADHI YA MAMBO YALIYOMO KATIKA KITABU CHANGU CHA FUNGUO NO2 KITABU HIKI NIMEAMUA KUKIANDIKA NA KUWEKA MAMBO MENGI HADHALANI ILI KUWAPUNGUZIENI TABU MBALI MBALI ZITOKANAZO NA UCHAWI NA MAJINI NA KILA AINA YA USHILIKINA.   MAANA BINADAMU WA SASA WAMEBADILIKA SANA NA HAWATAKI MAENDELEO YA WENZAO. KWA MATATIZO YA MASHETANI NA MAJINI. ل WAGANGA MATAPELI HUTUMIA NJIA HII KUWAIBIA WATU, SASA NATOA ELIMU BURE NA NAMUOMBA ALLAH AWAFANYIE WEPESI DAWAZANGU ZIWASAIDIE NA MIMI PIA MUNIOMBEE NIZIDI KUWAPA ELIMU MBALI MBALI. AAMINA.                                 YALIYOMO (1)              Jinsi ya kujifungua kama umefungwa kichawi. (2)              Jinsi ya kuvuta wateja katika biashara yako. (3)   ...

IJUE NYOTA YAKO.

IJUE NYOTAYAKO NYOTA JINSI YA KUFAHAMU NYOTA YAKO CHUKUA JINA LA BABA YAKO CHUKUA JINA LAKO   NA LA MAMA GAWANYA   KWA KUMI NA MBILI. 1.            IKIBAKI MOJA NI PUNDA. 2.            IKIBAKI MBILI NI NG,OMBE. 3.            IKIBAKI TATU NI MAPACHA. 4.            IKIBAKI NNE NI KAA. 5.            IKIBAKI TANO NI SIMBA. 6.            IKIBAKI SITA NI MASHUKE . 7.            IKIBAKI SABA NI MIZANI . 8.            IKIBAKI NANE NI NGE. 9.            IKIBAKI TISA NI MSHALE. 10.       IKIBAKI...

KILA SIKU NA NYOTA YAKE NA KAZI ZAKE.

SIKU SAA NA KAZI ZAKE SIKU SAA NA KAZI ZAKE 1.   JUMA TATU. 1.        SAA MOJA NI SAA YA MAPENZI. 2.       SAA MBILI NI SAA   YA WATU AU ADUI AU KUVUNJA NDOA YA MTU. 3.       SAA TATU NI SAA YA MAPENZI. 4.        SAA NNE   NI SAA YA VITA NA ADUI. 5.        SAA TANIO NI SAA YA VITA NA UADUI. 6.        SAA SITA NI SAA YA KUTOA MAJINI. 7.        SAA SABA NI SAA YA KUFUNGA HIRIZI. 8.        SAA NANE NI SAA YA   KUFUNGA NDOA . 9.         SAA TISA NI SAA YA KUFANYA KAZI YOYOTE UTAFANIKIWA. 10.     SAA KUMI NI SAA YA KUUZA NA KUNUNUA. 11. SAA KUMI NA MOJA NI SAA YA KUTENGANISHA WATU AU WANANDOA. 12. SAA KUMI NA MBILI NI SAA YA   KUINGIA KWA WAKUBWA   ...

MADHALA YA KUKAA NA MIDOLI KATIKA NYUMBA.

Picha
WAJUKUU HAMJAMBO? nataka niwape athali za kukaa na midoli ndani. kwanzakabisa midoli na misanamu niharamu kwa mtu yeyote kukaanayondani maana mapepo hupenda kukaa ndani ya misanamu. ukitaka kuamini uwe unachukua sanamulako na uwe unaliambia manenohaya kwa siki41 utaona ajabu na usije ukashangaa unauhama mji. sema wewe blodmeli nibadilishie kinyagohiki. TUSTAFTANE

JE UNATAKA KUMUONA JINI

Picha
JE UNATAKA KUMUONAJINI? CHUKUA UNGA WA PEMBA NYEUPE PAMOJA NA JIVU LA MOTO WA POLI ULE WA KIANGAZI A.K.A BUPI. CHOLA PICHAKAMAHII KATIKA ARDHI KWA KUTUMIA UNGAHUO NA UNAWEKA KATIKATI CHUMGU AMBACHO KITAKUA NA PIGI7 ZA MZIZI WA MBAAZI. WEKA MAANDALIZIYAKO KATIKACHUMBA CHA GIZA NA ASIINGIEMTU TOFAUTI NAWEWE. UTAKUA UNAINGIAHUMO KILASIKU USIKUTUU NA UNALALAHUMO HUKU UNASEMA MANENOHAYA MALABNYINGI. 1,KARIIRI JILBU JINNI BIHAQI HADHIHI SUURA. HAITAFIKA SIKU7 ATAKUIJIA KIUMBE NA UTAMWAMBIA SHIDAYAKO. kama hujaelewa vizuli gonga 0767393934 au 0685393934

TAFSILI ZA NDOTO MBALI MBALI

HIZI NI BAADHI YA NDOTO ZILIZOMO KATIKA KITABU CHANGU CHA NDOTO. NDOTO KILA NDOTO TUZIOTAZO HUA ZINA MAANA YAKE NA PIA NDOTO HUA ZIKO KATIKA MAKUNDI MATATU KUNA NDOTO ZA IBILISI, NDOTO ZA MWENYEZI MUNGU NA NDOTO ZA MAWAZO. PIA NDOTO ZIPO ZA UNABII AMBAZO WALIKUA WAKIOTA MANABII NA MITUME ENZI HIZO. "KAMA MMOJA WENU AKIOTA NDOTO CHAFU NA MBAYA BASI ASIITANGAZE, MAANA NDOTO HIZO ZIMETOKA KWA SHETANI". NA PIA NDOTO ZINAPATIKANA KATIKA BAIBO NA QORAANI Dalili ni kutoka katika Qur'an 49:12 يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اجْتَنِبُوا كَثِيرًا مِّنَ الظَّنِّ إِنَّ بَعْضَ الظَّنِّ إِثْمٌ وَلا تَجَسَّسُوا وَلا يَغْتَب بَّعْضُكُم بَعْضًا أَيُحِبُّ أَحَدُكُمْ أَن يَأْكُلَ لَحْمَ أَخِيهِ مَيْتًا فَكَرِهْتُمُوهُ وَاتَّقُوا اللَّهَ إِنَّ اللَّهَ تَوَّابٌ رَّحِيمٌ Enyi mlio amini! Jiepusheni na dhana nyingi, kwani baadhi ya dhana ni dhambi. Wala msipelelezane, wala msisengenyane nyinyi kwa nyinyi. Je! Yupo katika nyinyi anaye penda kuila nyama ya nduguye aliye kufa? ...