Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2018

KUMJUA MTU KUTOKANA NA MAUMBILE YAKE.

HIKI NI KITABU CHA KUMJUA MTU KWA MAUMBILE TAKE KWASASA KIKO MADUKANI KIMEJAA MAMBO MENGI YENYE FAIDA NA AMBAYO HUENDA YAKAKUSAIDIA KUJUA MAMBO MENGI. KINA PATIKANA KILA DUKA KWA GARAMA NAFUU. YALIYOMO 1.      Maumbile na tabia zake. 2.      Tarehe ya mtoto kuzaliwy6a na tabia zake. 3.      Kuwashwa kiungo na ishala yake. 4.      Doti jeusi la kuzaliwa nalo na maana yake. 5.      Herufi ya mwanzo wa jina lako na langiyako ya bahati. 6.      Jinsi ya kujitazamia kama uta fanikisha au laa kwa kitu chochote. Kwanza natanguliza shukrani nyingi kwa muumba mbingu na ardhi na vilivyomo kwa kunijaalia elimu mbali mbali na kunijaalia afya na namuombapia akujaalie wewe unae nunua kitabu hiki unufaike na elimu hizi utakazo zisoma katika kitabu hiki. Napia nachukua nafasihii kuwashukulu wazazi wangu baba na mama kwa kunilea vyema na kunifundisha maadili ya kuishi na watu. Kitabihiki nitawapa elimu ya kumjua mtu tabia zake kutokana na maumbile yake kwa alama au kwa jins

UCHAWI

HAYA KWA WALE MSIO AMINI KAMA UCHAWI UPO JARIBU NA HAPA. JINSI YA KUITA MZIMU NA KUUTUMA UNACHOKITAKA. Nenda katika mti wa mwembe dodo unauchimba ukiwa uchi kisha unaufunga kamba na unauvuta kutoka kwa hiyo shimo mpaka mahali ulipovulia nguo kwa kutumia mguu.Wakati unauvuta unasema kama anavyokuvuta wewe naomba ukanivutie mzimu wa makaburini wa mtu yeyote na ukamvute kwa nguvu zote na unaburuza mpaka ulipovulia nguo urefu wa mita tano kisha ufungue na uvae nguo zako kisha un aenda nyumbani,ukifika nyumbani ulaze nje.Kumbuka kazi hiyo unaifanya usiku kuanzia saa mbili na kuendelea.Mzizi huo utauanika upondeponde kisha uusage ukishakauka.. Chukua mashahidi ya makaburi saba,saga changanya na huo mzizi wa mwembe. Mzizi wa mbaazi ulio maliza mwaka. Kivumbasi kilichoota kaburini changanya na udi za wormwood na sandalwood kisha unga huo utautumia kama ubani.Utachukua unga awa chaki nyeupe uchore sako ilioko hapo mbele kwa kutumia unga huo kwa chaki nyeupe au pemba nyeupe na