Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2017

KITABU CHA FUNGUO NO2

HII NI BAADHI YA MAMBO YALIYOMO KATIKA KITABU CHANGU CHA FUNGUO NO2 KITABU HIKI NIMEAMUA KUKIANDIKA NA KUWEKA MAMBO MENGI HADHALANI ILI KUWAPUNGUZIENI TABU MBALI MBALI ZITOKANAZO NA UCHAWI NA MAJINI NA KILA AINA YA USHILIKINA.   MAANA BINADAMU WA SASA WAMEBADILIKA SANA NA HAWATAKI MAENDELEO YA WENZAO. KWA MATATIZO YA MASHETANI NA MAJINI. ل WAGANGA MATAPELI HUTUMIA NJIA HII KUWAIBIA WATU, SASA NATOA ELIMU BURE NA NAMUOMBA ALLAH AWAFANYIE WEPESI DAWAZANGU ZIWASAIDIE NA MIMI PIA MUNIOMBEE NIZIDI KUWAPA ELIMU MBALI MBALI. AAMINA.                                 YALIYOMO (1)              Jinsi ya kujifungua kama umefungwa kichawi. (2)              Jinsi ya kuvuta wateja katika biashara yako. (3)   ...