JINSI YA KUFUKUZA JINI KATIKA MJI AU MWILI
KUFUKUZA JINNI KATIKA MJI
Tarasimu hii inafukuza jinni katika mji hata katika mwili wa mgonjwa. Chora tarasimu hii na uifunge pamoja na miati saaila, karafuu maiti, mvuje na mbegu za hardari kisha choma katika nyumba yenye mashetani au mfukize mgonjwa. Mandishi ya kifuani huweki ni mahali pa kuandika jina la mgonjwa nakama ni mji unaandika jina la mwenye nyumba.
Choma katika mji kama ni mgonjwa mfukize jinni atatoka.
dr.haji a.k.a babu tiba asili tanzania

Maoni
Chapisha Maoni